Jokate Afunguka Changamoto Kubwa Aliyokumbana Nayo Kisalawe

Jokate Afunguka Changamoto Kubwa Aliyokumbana Nayo Kisalawe
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amesema kuwa ndani ya muda mfupi aliokaa madarakani akiwa kama DC wa Kisarawe aligundua kuwa vijana wa Kisarawe hawana muamko wa kutafuta fursa mbalimbali ili kujikwamua kimaisha.

Ameyasema hayo wakati akiwa mgeni mwalikwa katika uwasilishwaji wa matokeo ya mradi wa shirika la Plan International wa Uwezeshaji kwa Vijana Kiuchumi (Youth Economic Empowerment) ‘YEE‘ iliyoshirikisha mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Mtwara na Lindi ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Antony Mavunde.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad