Kikosi cha Simba Kimeondoka Leo Kwaajili ya Kuweka Kambi Lindi

Kikosi cha Simba Kimeondoka Leo Kwaajili ya  Kuweka Kambi Lindi
Kikosi cha Simba kimeondoka asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam kuelekea Lindi kwa kambi ya siku kadhaa kuendeleza maandalizi ya msimu mpya unaitaraji kuanza Agosti 22.

Kikosi hicho kikiwa Lindi kitacheza mchezo mmoja wa kirafiki na Namungo FC katika Uwanja wa Majaliwa majira ya jioni.

Simba imeondoka Dar ikiwa ni siku moja imepita baada ya kukipiga na klabu kongwe kutoka Ghana, Asante Kotoko juzi Jumatano na kwenda sare ya bao 1-1.

Katika ufunguzi wa pazia la ligi, Simba itaanza kumenyana na Tanzania Prisons ya Mbeya kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad