Kim Kardashian na Mumewe Kanye West Wanajenga Bwawa la Kuogelea Katika “Kijiji”

 Kim Kardashian na Mumewe Kanye West Wanajenga Bwawa la Kuogelea Katika “Kijiji”
MASTAA wasanii na wanamuziki wa Marekani, Kim Kardashian na mumewe Kanye West wanajenga bwawa la kuogelea katika “kijiji” chao cha familia kilichopo kando ya  jiji la Hidden Hills kwa ajili ya kujiliwaza nyakati za majira ya joto.

Picha ya juu inaonyesha hatua ya mwisho-mwisho ya ujenzi huo ulipofikia hadi sasa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad