Kiongozi Mwingine Chadema Ajiunga na CCM

Kiongozi Mwingine Chadema Ajiunga na CCM
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Mambwenkoswe wilayani Kalambo Mkoani Rukwa Kanowalia Siwale kupitia Chadema amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

 Diwani huyo amedai kuwa sababu ya kuondoka Chadema ni kutokana na kujawa na migogoro na hivyo ameamua kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Soma barua yake hapa chini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad