Kisarawe: DC Jokate Awataja Diamond na Alikiba Kama Mfano


Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amefanya matembezi ya siku ya vijana pamoja na kuhutubia Wakazi wa Kisarawe leo August 12 2018 ambapo pamoja na mengine amewazungumzia Diamond Platnumz, Alikiba, Nikki wa Pili na Shilole kama vijana wa kuigwa, tazama hii video hapa chini kuona alivyoongea

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad