Klabu ya Manchester United Kumsajili Mchezaji Huyu wa Serengeti Boys


Imeripotiwa kuwa klabu ya Manchester United kupitia wakala wake ipo mbioni kutaka kumsaini mshambuliaji wa Serengeti Boys Kelvin John ambaye amekuwa gumzo hivi karibuni baada ya kuonyesha kiwango safi katika michuano ya CECAFA Afcon U17 Zonal Quilifier inayoendelea jijini Dar Es Salaam.

Kwa mujibu wa mtandao wa Saleh Jembe umeripoti kuwa kigogo mmoja kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hakutaka jina lake kuwekwa wazi, alisema tayari mazungumzo yameshaanza baina yake na wakala huyo kwa ajili ya kumsajili John.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad