Web

Kutembea na Mpenzi Wako Kwa Mguu Jioni Kuna Imarisha Mapenzi

Top Post Ad


Watafiti wa masuala ya mahusiano wanashauri kuwa ni vyema kwa Watu waliokwenye mahusiano(wapenzi) kujiwekea utaratibu wa kufanya matembezi ya jioni pamoja

Matembezi haya si ya kutumia usafiri na inashauriwa yasiwe ya umbali mrefu wala kwenye maeneo yenye watu wengi

Inaelezwa utaratibu huu husaidia kukuza upendo na husaidia kufahamiana zaidi kwa wanandoa au wapenzi wapya.

Je, ni lini ulifanya matembezi ya jioni na mwenzi wako?

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.