Lugola Awatimua Maofisa wa Zimamoto Kikaoni Baada ya Kushindwa Kujitambulisha

Lugola Awatoa Nje ya Kikao Maofisa wa Zimamoto Baada ya Kushindwa Kujitambulisha
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,  leo amewatoa nje ya kikao baadhi ya maofisa wa Jeshi la Zimamoto jijini Dodoma baada ya kushindwa kujitambulisha kwa ufasaha kuhusu vyeo vyao na kazi zao.

Kikao hicho kilifanyika katika bwalo la kikosi cha kuzuia ghasia (FFU).


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmm hapana mheshimiwa. Every one deserves respect. Mh rais, tafadhali tupia macho hilo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad