LINDI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema kuwa baadhi ya Askari Polisi wanalifanya Jeshi hilo lionekane la Wagagagigikoko
Ameshangazwa kuona Mkurugenzi wa Halmashauri haogopi Jeshi la Magereza na kuamua kujigawia aradhi ya Jeshi hilo
Waziri Lugola ameongeza kuwa hata Wananchi/raia hawaliogopi tena Jeshi la Magerezai
Amesema kuwa watu wanajigawia ardhi ya Jeshi lakini badala ya kuchukua hatua Jeshi linabaki likilalamika tu
Waziri huyo ameenda mbali zaidi na kuhoji mbona watu hawavamii maeneo ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)