Lukaku Uso kwa Uso na Rapa Jay-Z

ROMELU LUKAKU anayelipiga soka na timu ya Manchester United ya Uingereza, ametimiza ndoto yake kwa kukutana na rapa Jay-Z na prodyuza DJ Khaled, wote wa Marekani.

Alikutana na mastaa hao huko New Jersey hivi karibuni wakati wa ziara ya muziki ya Jay-Z na mkewe, Beyonce, iitwayo ‘On the Run II Tour’ wakati wakitumbuiza katika dimba la  MetLife Stadium huko East Rutherford, New Jersey.

The Belgium striker also spent time chatting with DJ Khaled, another member of Roc NationÂ
Lukaku alikuwa katika mapumziko baada ya timu yake kutoka katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi iliposhika nafasi ya tatu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad