Madiwani Wawili Bukoba wametangaza kujivua Uanachama wa CHADEMA


KAGERA: Madiwani wawili, Dkt Amani(aliyekuwa Meya wa Bukoba) pamoja na Richard wametangaza kujivua Uanachama wa CHADEMA pamoja na kujiuzulu nafasi zao zote
-
Madiwani hao wametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi(CCM)
-
Madiwani hao wanapokelewa na Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Oganaizesheni ya CCM, Pereira Silima.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad