Mama Kanumba Amtolea Povu Steve Nyerere "Hastahili Kulitumia Jina la Nyerere Analidhalilisha"

Mama Kanumba Amtolea Povu Steve Nyerere "Hastahili Kulitumia Jina la Nyerere Analidhalilisha"
Mama Kanumba ameibuka na hoja mpya kuwa Mchekeshaji Steve Nyerere ambaye jina lake halisi ni Steven Mengele hastahili kulitumia jina la Nyerere kwani analidhalilisha jina hilo.



Akizungumza na Bongo5, Mama Nyerere amesema kuwa Hayati Mwalimu Nyerere hakuwa mnafiki kama yeye hivyo kujiita jina hilo ni kumkosea Baba wa Taifa huku akiahidi kumuombea kwa Mungu aweze kubadilika.

Mama Knaumba amedai kuwa Steve Nyerere ni Mnafiki kwani yeye ndiye aliyefanya uchochezi hadi marehemu mwanaye Staven Kanumba kuchukiana na Ray.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad