Mama Kanumba Amuomba Msamaha Muna Kufuatia Kauli Yake Aliyoitoa Baada ya Kufiwa na Mwanaye Patriki

Mama Kanumba Amuomba Msamaha Muna Kufuatia Kauli Yake Aliyoitoa Baada ya Kufiwa na Mwanaye Patriki
Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba, amemuomba msamaha mwanadada Muna Love kutokana na maneno yake “Muna alinitukana sana, na mungu ametenda” kauli ambayo aliyatoa siku chache baada ya Muna kufiwa na mtoto wake.

Mama huyo alidai aliitoa kauli hiyo kwa hasira kwani mwanadada huyo wakati yeye amefiwa na mtoto wake Kanumba alizungumza maneno machafu juu yake.

Akiongea na Time Fm wiki hii, Mama Kanumba alisema kwamba watu hawakumuelewa alichokimaanisha na watu walikata video fupu tu ya yale yaliyosambazwa.

“Muna mwanangu pole sana, ni donda hilo ambalo haliponi ni donda ndugu ila naomba unisamehe

Mama Kanumba amesema kwamba hana nia mbaya na hakuomba kitokee kilichotokea, watu walininukuu vibaya. Na wewe maneno uliyonisema mwanzoni hukujua kesho mwanangu, wote ni mapenzi ya mungu mimi sina nia mbaya,” alisema Mama Kanumba.

Mama Kanumba amesema kwamba hana nia mbaya na hakuomba kitokee kilichotokea.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad