Mama Wema Akanusha Mwanae Kuchumbiwa


.
Pamoja na kwamba katika mitandao ya kijamii kumekuwa na maneno mengi kuhusu mwanadada Wema Sepetu kuchumbiwa na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Rahur lakini  wema hakuwahi kuthibitisha hilo, mama mzazi wa mwanadada huyo ameongea na kukanusha swala hilo kuwa yeye kama mama hajui chochote kuhusu ilo.

Mama yakE Wema Sepetu amesema kuwa mitandaoni kumekuwa na mambo mengi sana kiasi kwamba hakuna taarifa zinazoweza kutolewa zikawa na ukweli  wowote kuhusu swala hilo.

Mimi sitambui kabisa kama kuna mchumba eti amekuja kwangu na ametaka kumchumbia  na kwamba tayari tuko katika taratibu za ndoa , icho kitu sio cha kweli na maana mimi ndio mzazi mwenyewewatu wasikazanie kusikiliza vitu vya mitandao na ukizingatia kuwa mitandaoni kuna mambo mengi sana.ni bora kupata uhakika wa jambo lolote kutoka kwa mhusika mwenyewe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad