Mamia Mamshambulia Diamond kwa Tabia Chafu ya Kuzalilisha Wanawake.


Baada ya kuweka komenti katika mitandao ya kijamii akijaribu kujitetea kutoka katika  maoni ya shabiki , Diamond alijikuta akimtolea povu kali sana shabiki kuhusu tabia ya kushika shika wanawake kitendo ambacho kiliwahi kuripotiwa kuwa kama moja ya sababu aliyowahi kuisema Zari ya kuachana na Diamond.

Hata hivyo baada ya kukoment hivyo na kumuita  mtoto wa hHamisa ni side chick na pia kumtukana Zari kwa kudai kuwa wamekuwa wao ndio wakimfata, mashabiki katika mitandao ya kijamiiwalianzsiha kampeni na kutaka mamlaka husika na pia wananchi kumchukulia hatua diamond kwa vitendo anavyofanya vya kudhalilisha wanawake.



Wananchi walionekana kukwazwa na kitu hicho hivyo kuanza kampeni hiyo na kumtukana sana Diamond kwa kitendo hicho.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad