Mange Kimambi Ashinda tuzo ya Mwanamke mwenye ushawashi kisiasa Afrika


Waandaji wa Tuzo za Beffta Wametoa matokeo ya tuzo mbali mbali ambapo katika kipengele Most Inspirational African Female Politics ameshinda Mange Kimambi

Mange ameandika Hivi Baada ya Kutangazwa:

Regrann from @mangekimambi_ - Thank you @beffta_award I’m honored. To every person that voted for me, Thank you 🙏🏾 .
.
#Repost @beffta_award with @get_repost
・・・
Congratulations Mange Kimambi Most Inspirational African Female Politics, East Africa,County : Tanzania 👏👏👏through #hashtagvotes #befftawardsnominees2018
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad