Mastaa wa Filamu Waangua Vilio Muhimbili Wakisubiri Mwili wa Mzee Majuto Kutolewa Mochwari

Tazama matukio mbali mbali yanayoendelea kwenye msiba wa Mzee Majuto ambapo asubuhi ya leo mwili wa muigizaji huyo mkongwe Tanzania unatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam na baadaye kusafirishwa kwenda mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.
 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad