Maua Sama kazungumzia ishu ya Kufukuzwa THT 'Nipo Mapenzini na Mzungu Shabiki yangu'

Muimbaji Maua Sama amezungumza kuhusu kudaiwa kuondoka THT ambapo amesema hajaondoka kwa ubaya na THT ni familia yake kwani walimchukua kwa Mwana FA wakafanya naye kazi lakini saivi anafanya kazi na watu wengine ila THT patabaki kama nyumbani ambapo hawezi kupakimbia.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad