Maungo Yangu Yananipa Tabu Sana, Natongozwa Kila Kukicha

Mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa ila ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, na hiyo ni kwa ajili ya umbo langu kiuno nyingi ila nina tako balaa na miguu mizuri, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu sitoe mwanya hata kidogo japo ilinifanya nikafukuzwa hata kazi niliyokuwa nimeajiriwa baada ya kumkataa bosi



Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo.

Mmenipataaa.

By Emily
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad