Mbunge Mteule wa Jimbo la Buyungu Akabidhiwa Hati ya Ushindi

Mbunge  Mteule wa Jimbo la Buyungu Akabidhiwa Hati ya Ushindi
MBUNGE mteule wa Jimbo la Buyungu, Kakonko mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Prof. Christopher Chiza Kajoro aamepokea hati ya ushindi huo baada ya kutangazwa mshindi kwa kupata kura 24,578 huku Elia Michael wa Chadema akipata kura 16,910 katika uchaguzi mdogo uliyofanyika jimboni humo jana Jumapili, Agosti 12, 2018.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad