Wanaokumbatia na Kubusu Maiti Hatarini Kupata Ebola

Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu kutangazwa kuibuka tena kwa ugonjwa wa Ebola kwa mara ya kumi mfululizo, Serikali ya Tanzania kupitia kwa Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya Dkt. Leonad Subi imetoa tahadhari kwa wananchi kuacha utamaduni wa kukumbatia na kubusu maiti ili kuweza kujiepusha na maambukizi ya ugonjwa huo. VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad