Meneja wa Wema Sepetu Aingilia Bifu la Zamaradi na Mobetto..Ampa za Pua Mobetto


Sokomoko la Zamaradi Mketema na Hamisa Mobeto, muigizaji Neema Ndepanya ambaye pia ni meneja wa Wema Sepetu aamua kumkingia kifua Zamaradi. Neema amepost picha ya Zamaradi na kuandika ...
.
"Sometimes people will be mad at u because you are not a lying ass motherfu**ker as they are... @zamaradimketema don't let anyone get comfortable disrespecting u hunie!!NEVER!!
Kiki za kuchafuana zilishapitwa na wakati...hakuna kitu kibaya dunian kama kuwa MNAFKI..
MNAFKI ni MUUAJI...
DONT PLAY SMART BITCH!!!
Yani nachukia mtu anajifanya kila wakati anaonewa yeye...uonewe kwa kipi bwana??kama pumzi wote tunavuta bure na utafutaj kila mtu anatafuta kwa njia zake hata awe mama mpika mandazi kama mm...
Kama ni hivyo wamama wanaopanga mandazi yao barabaran wangetuchukia sana kisa leo nimebadili kwenda kununua kwa mwingine??
Em punguza utoto wa kipumbavu shubaamit!!
Wengine tushakuwa wazee mambo ya kutukanana mitandaon yamepitwa na wakat...
Umechelewa sana bidada enzi za kutafuta kiki kwa kumchafua mwenzako zishaisha...
Unapenda drama kuliko kazi..... ACHA TABIA YA KUJITILISHA HURUMA UONEKANE UNAONEWA WENZAKO WAONEKANE WAKOSAJI...UNAJIFANYA ETI HUJUI KUONGEA MXIUUUUUU UONGO UMEKUJAA MPAKA UNAONA HAYA KUANDIKA UKWELI UNAJIFANYA HUPENDI KUONGEA SHENZI!! TABIA CHAFU SANA HII

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad