Meya wa Jimbo la Columbia Awatunuku Tuzo ya Heshima Jay Z na Beyonce

Meya wa jimbo la Columbia awatunuku tuzo ya heshima Jay Z na Beyonce
Mayor wa jimbo la Columbia,South Carolina Steve Benjamin amewatunuku tuzo ya heshima couple the Carter’s,Jay Z na Beyonce ikiwa ni kuheshimu mchango wao katika kutangaza utamaduni wa nchini kwao hiyo ni baada ya couple hiyo kumaliza show yao ya #OntheRun2 katika jimbo hilo. Sasa kulekea September 1 kwenye Urithi Festival unahisi ni couple gani kwenye Bongo Fleva ambayo inastahili kupata tuzo ya kuutangaza utamaduni wetu wa kitanzania? Drop comment yako.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad