Mke wa Rais Trump Kufanya Ziara Barani Afrika

Mke wa Rais Trump Kufanya Ziara Barani Afrika
Mke wa rais wa Marekani Melania Trump anatarajiwa kufanya ziara barani Afrika mwaka huu ingawa haijafahamika ni maeneo gani ya bara hilo ataweza kutembelea.

"Hii itakuwa safari yangu ya kwanza barani Afrika na shauku yangu kubwa ni kutoa mafunzo juu ya masuala yanayowahusu watoto na vilevile kujifunza juu ya utajiri wa utamaduni na historia ya bara hilo la Afrika" Melania alielezea.

Bi.Trump anatarajia kufanya ziara barani Afrika bila kuongozana na mume wakeHaki miliki ya

Rais Donald Trump ambaye aliwahi kukosolewa kwa kuzidharau baadhi ya mataifa ya Afrika licha ya kwamba alikana kuwa mbaguzi hatasafiri na mke wake kuja barani Afrika.

Rais Trump hajawahi kufanya safari ya Afrika tangu aingie ofisini mnamo januari 2016.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad