Mnaniita Bwege, Limbukeni, Mshamba Niiteni tu Majina yote Tunda ndio Parking Yangu Milele- Casto

Mnaniita Bwege, Limbukeni, Mshamba Niiteni tu Majina yote hii ndio Parking Yangu Milele- Casto
Mtangazaji wa Clouds TV kupitia kipindi cha ‘Sizi kitaa’ Casto Dickson amezidi kuonesha mapenzi yake kwa Tunda kuwa anampenda zaidi na hata hajali yale aliyowai kufanya nyuma na istoshe Tunda ndiye mwanamke mzuri kuliko wote aliowai ku-date nao hapo awali.

Casto ambaye yupo tayari kuitwa jina lolote lile la dharau kuhusu Tunda ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram...>>>Mnaniita Bwege, Limbukeni, Mshamba, Sijawahi kuwa na Mwanamke Mkali, Niiteni tu Majina yote hii ndio PARKING YANGU MILELE🤐🤐🤐




“Wakati na kutana nae as ANNA hakuna aliekuwepo zaidi ya mimi na yeye, Yote aliyoyafanya nyuma kwangu si chochote naamini nina ANNA mpya zaidi ya mnavyofikiria 🙏🏻🙏🏻” – Casto Dickson

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad