Mpenzi wa Zamani wa Nick Minaj Atoboa Siri "Nick Minaj Alinichoma Kisu Kutaka Kuniua"


MAREKANI : Baada ya @nickiminaj kumtolea za uso mpenzi wake wa zamani Safaree Samuel kwa kusema alikuwa anamuhudumia kwa kila kitu na bado alikuwa anaiba Atm Card yake na kwenda bank kutoa hela kisha kugawa kwa wanawake wengine na kukanusha kuwa jamaa alikuwa hamuandikii ngoma.
Sasa Safaree nae aamua kujibu tuhuma kupitia 'Twittee' kwa kusema kuwa #Nick amekosa heshima na kumzungumzia vibaya na jamaa akafunguka kuwa bidada alishawahi kumchoma kisu na ilibaki kidogo apoteze maisha lakini polisi walivyokuja ikabidi azuge kuwa alijichoma mwenyewe ili kunusuru penzi lako na akaongeza kwa kusemaa Nick anatumia nguvu nyingi kutafuta 'Kiki' wakati hayo sio mambo yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad