Msigwa Awapa Makavu Wasanii wa Bongo "Acheni Unafiki na Uoga''

Msigwa Awapa Makavu Wasanii wa Bongo "Acheni Unafiki na Uoga''
Moja ya wanasiasa nchini, Peter msigwa amewaomba wasanii wa Tanzania kuacha kuwa wanafiki na waoga katika kutetea mambo ambayo yanakuwa na mnufaa kwa jamii hasa pale wanapoamua kufanya kwa ajili ya jamii.

Akiandika katika ukurasa wake, Peter msigwa anasema kuwa  ameona katika mitandao ya kijamii wasanii baadhi yao wakiungana na wasanii wa Uganda katika kampeni yao ya kuishinikiza serikali kumuachia mwanasiasa aliwahi kuwa msanii nchini humu Bob wine.

“nimeona baadhi ya wasanii Tanzania wanaandika FREE BOBI WINE , jambo ambalo ni zuri lakini alipoonewa Sugu,Lissu ,Mawazzo ,Saanane,Azori  hapa Tanzania wamekaa kimya , Injustice  to one is injustice to all” Tuache unafiki  na UWOGA , Museveni Free BOBI wine, Magufuli FREE DEMEOCRACY.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad