Mtatiro: Lowassa Siyo Msaliti Kwa Kuwa Hakishambulii Chama Chake cha zamani ( CCM )

Aliyekuwa kada mtiifu na kiongozi wa Cuf Julius Mtatiro amesema msaliti ni yule anayehama na kuanza kukishambulia na kukibomoa chama alichokijenga mwenyewe. Amesema Prof Lipumba ni msaliti na kwa mikono yake ameiua Cuf bara na kwamba kiukweli huku bara Cuf imeshakufa imebakia Zanzibar pekee. Mtatiro amesisitiza kuwa Lowassa siyo msaliti pamona na kutukanwa sana na makada wa CCM lakini hajawahi kuvujisha siri anazozijua wala kukitukana chama hicho. Amesema na yeye siyo msaliti kwani pamoja na kuhama bado anakiheshimu Cuf kama chama kilichomlea na kumkuza.

Source Clouds 360!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad