“Mtu Asiyetembea na Kitambulisho cha Taifa Atahojiwa” –RC Dodoma

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Bilinith Mahenge ameagiza kila mwananachi wa Dodoma kutembea na kitambulisho chake cha taifa na atakayeshindwa kufanya hivyo atahojiwa. Hii ikiwa ni mwendelezo Operation ya kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu ambayo yamekuwa yakifanywa na baadhi ya watu katika mkoa huo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad