Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa Tangazo la kusudio la kusimamisha leseni zilizotolewa na TCRA kwa Kampuni za Multichoice Tanzania Ltd (Dstv) na Simbanet Tanzania Ltd (Zuku) kwa kushindwa kutekeleza amri halali za TCRA na kwa kushindwa kutekeleza masharti ya leseni ikiwa ni pamoja na kuendelea kubeba na kuonesha chaneli za tekevisheni zenye leseni za kutazamwa bila malipo kupitia ving'amuzi vyao.

Source:JF

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad