Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Atoa Mpya Baada ya Kujibu Mtihani Kwa Kiswahili


ELIMU: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu(DUCE), ajibu maswali ya mtihani kwa kutumia lugha ya Kiswahili licha ya mtihani husika kutaka ujibiwe kwa Kiingereza
-
Mmoja wa Waalimu wa Chuo hicho amesema kuwa bado wanajadili namna ya kusahihisha mtihani huo kwani ni kinyume na Sera ya Elimu.
-
Katika tukio jingine Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kondo iliyoko Wilaya ya Kinondoni, Daudi Kuboja ameeleza kuwa amewahi kukuta Manafunzi wa Kidato cha Pili ameandika mashairi 20 ya mapenzi kwa lugha ya Kiswahili katika daftari la Kiingereza
-
Je, unafikiri ni wakati muafaka wa kuamua Kiswahili kuwa lugha rasmi ya kufundishia katika ngazi zote za Elimu?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad