Mwanasiasa Mwanamke Mwenye Asili ya Kitanzania Aingia Bungeni Pakistani

Katika historia ya kwanza ya Paskstani, chama cha PPP kinachoongozwa na mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Pakstani Marehemu Benazir Butho, kimemteua mwammke wa kwanza mwenye asili ya Tanzania Bi Tanzeen Qanbran aliye na umr iwa miaka 39 kama mbunge wa viti maalumu.

Bi Tanzeela aliye na shahada ya Computer science ya Uzamifu ndiyer mwananmke wa kwanza mwenya asili ya Kiafika kuingia bungeninchini humo.

Yeye ni mmoja ya watu wenye ASILI ya Kitanzania ambao BABU zao WALIUZWA na WARENO kama WATUMWA katika bara la HINDI
Pamoja na hayo wao wameendelea kulinda TAMADUNI za KIAFRIKA na hasa za Tanzania kwa ujumla.

Kabila lao lijulikanalo kama SIDI wamekuwa wakibaguliwa kwa muda mrefu mpaka hivi majuzi chama cha PPP kilipowatambua rasmi na kumpa uteuzi bi Tanzeela Quanbran ili kuwawakilisha watu wake.

Inasemekana mwanasiasa huyo na familia yake WAMEENDELEA kutunza MIZIZI yao ya Tanzania.
Mmoja wa dada zake AMEOLEWA nchini Tanzania, na mwingine AMEOLEWA huko GHANA.

Jumuia ya hao Waafrika wenye asili ya Tanzania inaitwa "SIDI,"
Nao huzungumza AINA ya KISWAHILI kilicho changanyika na lugha za huko, na hivyo kujulikana kama ligha ya la KIBALUCHI.

Inasemekana idadi ya SIDI community ni makumi ya MAELFU, na wamesambaa mpaka India, kule Gujarat, Andhera Pradesh,na WILAYA za mji mkuu wa KARACHI nchIni Pakistani.
Jumuia ya SIDI wamekuwa wafuasi sugu wa chama cha PPP.
Chanzo:
MSN news na BBC

Tanzania Hoyee!!!

By Shige2
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera dada yetu. Mungu hamtupi kumbe chake. Baada ya dhiki faraja

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad