Mzee wa Miaka 70 Afunga Smartphone 11 Kwenye Baiskeli Ili Kucheza Game

Mzee wa miaka 70 afunga smartphone 11 kwenye baiskeli ili kucheza game
Mzee wa miaka 70 nchini Taiwan anayefahamika kwa jina la Chen San-yuan amefunga jumla ya simu 11 kwenye baiskeli yake ili aweze kucheza game kila anapokwenda.

San-yuan ambaye ni mkazi wa New Taipei hutumia saa 20 kucheza michezo ya Pokemon kabla ya simu na betri zake tisa hajaziweka kwenye baiskeli kuanza safari ya kutembea nazo.

Wakati, Feng Shui akisema kuwa hutumia kiasi cha pauni 1,165 kwaajili ya kulipia game hilo. Chen kwa sasa amepewa jina la utani akiitwa ‘Uncle Pokemon’.

Kwaupande wake amesema kuwa kucheza gemu kunamsaidia kusahau maradhi aliyokuwa nayo ya Alzheimer ambayo humsumbua lakini pia humuunganisha nawatu wengine wenye umri kama wake. Chen ametekwa na Pokemon baada ya kufundishwa na mjukuu wake namna ya kucheza gemu hilo mwaka 2016 .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad