Ndalichako Atoa Kauli ya Serikali Kuhusu Mwanafunzi Aliyefariki kwa Kipigo cha Mwalimu

Ndalichako Atoa Kauli ya Serikali Kuhusu Mwanafunzi Aliyefariki kwa Kipigo cha Mwalimu
Jana August 28, 2018 ziliripotiwa taarifa za Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya Msingi Kibeta iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kupigwa na mwalimu wake mpaka kufariki kwa tuhuma kuwa kaiba pochi ya mwalimu wake.

Sasa Leo Waziri wa Eilimu na mafunzo Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amejitokeza mbele ya waandishi wa habari na kutoa kauli ya Serikali kuhusu tukio hilo……..

>>>’Shule ni sehemu ambayo ni salama kwa hiyo asitokee mtu akafanya vitendo ambavyo hata wazazi wajiulize harugusu mtoto kwenda shule au asiende lakini serikali itachukua hatua kwa mtu yeyote atakayefanya shule ionekane si mahali salama‘-Waziri Ndalichako
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad