Ndoa ya Young Dee Yaota Mbawa

Baada ya kusambaa picha katika mitandao na ikaelezwa kuwa huenda msanii Young Dee ameona, imekuja kubainika haikuwa kweli bali ni wimbo wake mpya.

Young Dee alichanganya mashabiki wake hasa pale alipokuwa akipatiwa pongeza za ndoa na yeye kuzipokea kwa mikono miwili.

Siku moja baada ya hayo yote  Young Dee ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Naoa, wimbo huo umekuja kuondoa stori zote za Young Dee kufunga ndoa.

Usikilize wimbo huo hapa chini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad