
Kwenye moja ya mashairi ya wimbo huo, Nay amesema “Huu ndio mwaka wenye utata unatoa ngoma ina-hit halafu inasifiwa na BASATA”.
Hii sio mara ya kwanza kwa Nay wa Mitego kuwataja BASATA kwenye nyimbo zake kwani alishawahi kulitaja baraza hilo kwenye nyimbo zake za nyuma.