Ni sakata la mwanaume, Wema Sepetu aomba kupumzishwa


Miss Tanzania na Muigizaji Wema Sepetuameonekana kukwazika na kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na kile kinachodaiwa kuwa ame-comment kwenye page ya kijana aitwaye Rock Charles katika ukurasa wa instagram

Kupitia instagram account ya Rock Charlesaliandika caption inayosema imekuwa muda mrefu Tanzania, nakuja kumuona mke wangu mtarajiwa Wema Sepetu ” na baadae Wema Sepetu alionekana kujibu kwa kusema “karibu Mume”

Kupitia ukurasa wa instagram wa Wema Sepetuameweka wazi kuhusiana na hilo na kusema hamfahamu huyo kijana na kusema kuwa amechokwa kuandamwa ma kutukanwa kwenye mitandao ya kijamii na comment hiyo imetengenezwa hajahusika chochote na hicho.

“Aslaam Aleykum Hii kitu imekuwa ikisambaa sana and I know nothing about it… Natumiwa na watu wa karibu nabaki natoa macho… Jana nimeona ya kwanza nd I jus decided kupost those flowers na kuandika mnanitafuta Jamani huyo mtu hapo juu kwanza simjui And hizo edits mnazofanya za kuonesha nimecomment sio Mimi…

“Kwa wanaojua Instagram vizuri mtaona kabisa kwamba hio ni EDIT na sio original comment kama ya kawaida inavyokuwa nimesema mara moja na ntasema tena, Msione watu wamekaa kimya mkaanza kuwatafutia vijimambo vya ajabu vya kuzua zua nipumzisheni basi… Maana mmeshanisema mpaka”

“Mmetukana mpaka mmeninanga mpaka nimekaa kimya tu sasa this is a lil bit deep sipendi maneno maneno jamani… Kwani kipi kikubwa nimewakosea mpaka kila siku hamuachi kuniandama… Mbona nimekaa kimya tu na sina habari na mtu lakini kutwaaaa on my Case…. Sipendi jamani kuharibiana vibe za Eid tu SITAKI JAMANI NIACHENI Eid Mubarak my Loves”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad