Nigeria Kama Bongo Vile...Waufungia Wimbo wa This is Nigeria


Baada ya takriban miezi mitatu toka Falz The Bad Guy kutoka This Is Nigeria ambayo ni cover version ya This Is America ya Childish Gambino, Nigeria Broadcast Regulator WAMEFUNGIA Rasmi wimbo Na Video ya Wimbo huo kuchezwa au kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari Nigeria. .

Wimbo huu wa Falz umeongelea mapungufu yote ya nchi ya Nigeria na kuonyesha wazi ubaya wa nchi hio na watu wake kupitia mistari kama

“This is Nigeria, everybody be criminal.” 'Hii ndio Nigeria, kila mtu ni Muhalifu'. umepelekea NBC kuwa na mamlaka ya kufungia wimbo huo.

NBC wataweza kuzuia wimbo kwenye yombo vya habari ila sio mtandaoni sababu Youtube hawajaona kosa la rekodi hio, mpaka sasa video inawatazamaji milioni 13.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad