NMB Waziundua Huduma ya Kufungua Akaunti Kupitia Simu yako Mkononi
0Udaku SpecialAugust 19, 2018
Benki ya NMB mapema wiki hii walifanya uzinduzi wa huduma tatu mpya za Benki hiyo uliofanyika Hotel ya Hyatt na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya fedha, teknolojia na baadhi ya wateja wa NMB.
Huduma zilizozinduliwa ni uwezo wa mwananchi kufungua akaunti kupitia simu yake ya mkononi, App yenye huduma zote ambazo mteja anaweza kufanya mwenyewe badala ya kwenda kwenye tawi na Scan to Pay huduma ya kufanya malipo kwa kutumia QR code na hivyo kuwawezesha kulishikishwa kifedha.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Naibu Gavana Usimamizi wa Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dk.Benard Kibese ambaye alisema kwamba ubunifu huo utarahisha Watanzania wengi kufungua akaunti za benki hiyo kupitia simu zao za mikononi na kwamba hivi sasa watumiaji wa simu za mkononi ni wengi na hivyo huduma hiyo ya NMB imekuja wakati sahihi.
“Tunaipongeza NMB kwa ubunifu huu ambao wamekuja nao wa kuhakikisha wanatumia teknolojia iliyopo kuanzisha huduma za kufungua akaunti kupitia simu ya mkononi na kizuri zaidi hata wenye simu za tochi bado wanaweza kufungua akaunti kupitia huduma hiyo,” alisema
Huduma hii imepokelewa vizuri na watumiaji wa mtandao wa Twitter ambao wamesema kwamba uzinduzi huo ni muhimu sana hususani katika mchakato wa kuipeleka Tanzania katika Uchumi wa kati.

Been through that NMB
TL and that #NMBJourn
ey imefungua memories mob and sone good throwback vibe too! Good to see how this bank
(formerly MuAlizeti) have come along! Can’t wait to use their new app!
— PATRICE
(@PatNanyaro) Augus
t 14, 2018

Life made easy! NMB KLiK
���� Tried it, and it worked magic! Beautiful app @NMBTanzania pic.twitter.com/iMoiGzikIb
— Mafuru (@MafuruJ) August
15, 2018

@NMBTanzania hii app yenu
nimeirate 4.9 out of 5. Ipo designed proffesionally
Great job#change
Tanzania
I am banking at my comfort with NMB KLiK app. Download here https://t.co/PWaIFLiPrg
— Senior Citizen™
(@heliufoo) August
15, 2018

The new NMB KLiK App is
revolutionizing the mobile banking in Tanzania like never before �������� congrats @NMBTanzania for major
milestone
— Julius J. Mbungo (@007juelz) August
15, 2018