Nuh Mziwanda Afunguka Mazito Kuhusu Mjengo wa Shilole "Mimi Nilichangia Kununua"

Nuh Mziwanda Afunguka Mazito Kuhusu Mjengo wa Shilole "Na Mimi Nilichangia Kununua Mjengo Wa Shilole"
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Nuh Mziwanda ameibuka kuwa ana yeye pia aliweka mkono Kwenye kununua Mjengo mpya wa Shilole aliouanika Kwenye mitandao ya kijamii.

Ikiwa ni siku chache zimepita tangibly shilole aanikr Mjengo wenye thamani ya zaidi milioni 90 anaoujenga hivi sasa, aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda amedai na yeye pia ana chake Kwenye Mjengo huo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad