PICHA: Waziri Mkuu Atumia Usafiri Wa Boeng 787-8 Dream Liner Ya. ATCL Kutoka Mwanza Hadi Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisafiri kwa Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner wakitoka Mwanza kwenda Dar es salaam kupitia KIA, Agosti 22, 2018.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phillip Mangula (watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) kwenye uwanja wa  Ndege wa Mwanza kabla kuondoka kuelekea Dar es salaam kwa ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner Agosti 22, 2018

Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ikiwa Juu Ziwa Viktoria Mwanza ikijiandaa kutua katika uwanja wa Mwanza leo 22/Agosti /2018
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad