Mwanadada Rachel Temu ambae ni mojaya mashabiki wakubwa wa Diamond Platinumz amfunguka na kusema kuwa kwa sasa Diamond anatakiwa kujirekebisha kutokana na tabia yake ya kudhalilisha wanawake katika mitandao ya kijamii.
Rachel anasema kuwa Diamond asipoangalia hata atapoteza mashabiki wake wote kwa sababu mwisho wa siku kila mtu anatakiwa kujua kuwa mama ndio kila kitu katika Dunia hii.
Ireal love you as my young brother , i dont hate you nilikuwa nakupenda na ninakupenda mpaka leo , i love you music lakini kuna kitu kimoja lazima nikwambie ambacho umeteleza na lazima tukiseme,Diamond umekuwa na tabia ya kuwadhaki na kuwatukana wanawake.Sijajua post yako ya wiki iliyopita uliposema kuhusu kima ulikuwa ukimlenga zari au hamisa lakini wote ni wanwake unawatoto nao tunaomba heshima iwepo na hata kama unawatukana watukane kimoyo moyo sisi tusijue wala kusikia.
na tunashangaa sasa hivi maana hapo awali uliwahi kusema kuwa hautakaa upoeke show za maharusi wala kitchen party lakii siku hizi unafanya hivyo sasa sijui muziki umshuka au vipi.
Hapa karibuni kulitokea mtafaruku katika mitandao ya kijamii huku mashabiki wa Diamond wakitaka kugoma na kuanza kunda kampeni ya kumshinikiza Diamond kumuomba msahama moja ya wanawake aliozaa nao baada ya kumtukana.
Rachel Temu Amuomba Diamond Aache Kudharirisha Wanawake
1
August 30, 2018
Tags
halafu wewe shabiki inaelekea una kinyongo na Diamond sio bure kwanza kabisa nikwambie labda wewe ndiyo una ona kuwa mama ndiyo kila kitu hapa duniani lakini siyo watu wote wanaona hivyo kuna akina mama wanawasaliti watoto wao kama mimi mama yangu aliniacha nikiwa mdogo bila hata kuniaga kwa hiyo mimi namchukia sana mama yangu leo hii nikiwa mtu mzima siongei na mama yangu na wala sitokuja kuongea nae katika maisha yangu yote kwa hiyo usiseme kuwa mama ndiyo kila kitu hapa duniani ni wewe tu ndiyo unaona hivyo!
ReplyDelete