Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amtembelea Waziri wa Maliasili Dk. Khamis Kigwangalla

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amtembelea Waziri wa Maliasili Dk. Khamis Kigwangalla
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jana  tarehe 8, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad