Rapa Tyga Atangaza Ujio wa Bidhaa Yake Mpya ya Bangi

Rapa Tyga Atangaza Ujio wa Bidhaa Yake Mpya ya Bangi
Rapper Tyga kutoka Marekani baada ya single yake ya Taste kupokelewa vizuri ameamua kutumia fursa hiyo kutangaza ujio wake wa biashara ya Bangi aliyoiita jina la Taste Kush.

Tyga amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Lil babies @tastekush🐲 coming soon” caption ambayo ilisindizwa na picha yake akiwa kwenye bustani ya bangi.

Ujio wa bidhaa hiyo ya Taste Kush itakuwa ni changamoto kubwa kwa wasanii wenzake ambao tayari wameshaanzisha biashara hiyo akiwemo Wiz Khalifa, Snoop Dogg, The Game na wengineo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad