Rich Mavoko afunguka kwa Mara ya kwanza toka Atoke Basata


Rich Mavoko afunguka kwa Mara ya kwanza toka Atoke Basata

Rich Mavoko afunguka haya:

"Nimejifunza vingi ila la muhim  kabisa  nimeona Umuhim wa kukaa karibu na  walezi wetu mana changamoto ni nyingi na  kuna mengi ila yote mnaweza yajua kama tukiwa karibu nanyi leo mmenipa maana ya neno mama ni mama ata kama ni kilema, ata iweje nyinyi ndo walezi wasanaa Yetu Niseme Tu Asante #Basata"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad