Katibu mtendaji wa Baraza la sanaa la taifa ,ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia swala la kushindwa kwa kesi ya Rich mavoko ambapo amethibitisha kuwa Rich Mavoko alikuwa amesainishwa mkataba wa kinyonyaji hivyo wao kama baraza kazi yao kubwa ni kwasaidia wasanii kama hao na kwa Rich mavoko ameshasaidiwa.
sio kwamba kila msanii anaekuja hapa anakuja kwa sababu anamatatizo na baraza hapana, rich mavoko alikuja baraza kuangalia maswala yake ya mktaba, kama vile ambavyo baraza lilitangaza kwamba baraza linapokea wasanii wote wenye shida na mikataba yao.
kwaio rich mavoko amelata mkataba wake ambao tumesema tutaupeleka kwenye ile kamati inayshughulikia mambo hayo ya mikataba ya wasanii ambayo ni ya kinyonyaji na rich mavoko ni mmoja wao.
Lakini pia mh mungerza amesema kuwa Rich mavoko hakuwahi kusajiriwa BASATA kwa kiindi chote alichokuwa akifanya kazi hivyo wamesajiri na kwa sasa anatambulika rasmi na baraza hilo.lakini pia ametoa wito kwa wasanii kutosaini mikataba bila kuielewa au kuwa na sheria ya kuwalinda.
lakini pia leo hiii amekuja na amesajiriwa na baraza , kumbe siku zote hizo alikuwa anafanya kazi lakini alikuwa hatambuliki na BASATA, kwaio amekuja na tumempa kibali cha kufanya kazi.Kwaio naomba wasanii wasiingie katika mikataba wasioielewa.
Rich Mavoko ni Moja ya Wasanii Waliosaini Mikataba ya Kinyonyaji:-BASATA
0
August 11, 2018
Tags