Rostam Wawaenzi Mwl. Nyerere na Kingunge Waachia Wimbo wa Parapanda

Rostam Wawaenzi Mwl. Nyerere na Kingunge Waachia Wimbo wa Parapanda
KUNDI la Hip Hopm linaoundwa na wakali wawili wa kuchana, Roma Mkatoliki na Stamina ‘ROSTAM’ wameachia audio ya wimbo wao mpya uitwao PARAPANDA.



Ndani ya ngoma hiyo Roma amejivisha uhusika kama hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Stamina kama Hayati Mzee Kingunge Ngombaremwiru, wasanii hao wanasikika wakichana kwa kujibizana kuhusu hali ya siasa, uchumi na maisha kwa ujumla hapa nchini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad