S3x Toys ni Hatari kwa Kizazi Chetu Tanzania.

Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya se.x toys yaani midoli ya kufanyia mapenzi inavyotangazwa Mitandaoni hapa Tanzania, hivi vitu tulizoea kuviona kwenye movies huko kwa wenzetu ila sasa kuna watu wanaagiza na kuja kuiuza Tanzania Kupitia Instagram, hizi vitu ni hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume zao

Nimewaza kama mtoto wa shule wa kike akianza kutumia s.ex toys mpaka atakapokuwa mkubwa na kuolewa atakuwa amekubuhu hivyo hawezi kutoshelezwa na mumewe ni lazima apate lile toy, na pia sehemu zake za uk...... Zitakuwa ni kubwa sana kulingana na toy analotumia.

Jambo hili limeanzia America na sasa limeingi Tanzania kwa kasi, naomba wanawake tuamke sio salama haya matoy, na hata wenye watoto wakike muwaelimishe kabla mambo hayaja haribika.

Jamani mi nimemaliza.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad