Shilole Aonyesha Nyumba Anayojenga

Shilole Aonyesha Nyumba Anayojenga
Kutokea kuuza soda na vitafunwa kwenye stand ya Mabasi mpaka kuwa Msanii na sasa anaelekea kuwa miongoni mwa kina Mama wenye nyumba au wanaomiliki nyumba kwenye ardhi ya Dar es salaam, Msanii Shilole ambae pia kwa sasa ni Mama Ntilie ametuonyesha nyumba yake ilipofikia na kuandika yafuatayo

“Mama Ntilie mie nikiwa ktk harakati za kupambana kumalizia ili na mimi niitwe Mama mwenye Nyumba. Mjini pagumu haijawa rahisi lakini ashukuriwe Mungu Nilisema Ntakomaa ma Jiji Mnyamwezi wa Igunga mimi.”
Shilole Aonyesha Nyumba Anayojenga
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad