Simba Yafunguka Kuhusu Hali ya Okwi

Simba Yafunguka Kuhusu  Hali ya Okwi
Club ya wekundu wa Msimbazi Simba SC leo kupitia kwa mkuu wao wa idara ya habari na mawasiliano wa club hiyo Haji Manara, leo amezungumza na waandishi wa habari na kueleza maandali ya club yao kuelekea kuanza kwa mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu 2018/19.

Simba imeanza kwa kumpa pole Rais Magufuli kwa kufiwa na dada yake Monica Magufuli lakini wameelezea maandalizi ya game yao ya kwanza dhidi ya Tanzania Prisons itakayochezwa usiku wa August 22.

Haji Manara pia ameeleza kuwa hali ya Emmanuel Okwi ambaye aliumia mgongo wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar, hali yake imeimarika kwa asilimia 75, hivyo bado haijajulikana kama atacheza kesho au la.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad